×

KASISI

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele.

MSOMAJI

Amina.

Maombi ya Trisaghio.

Mungu Mtakatifu, Mweza Mtakatifu, Usiyekufa Mtakatifu, utuhurumie. (3)

Ee Utatu mtakatifu kamili, utuhurumie. Bwana, utusamehe dhambi zetu. Rabi, utuondolee makosa yetu. Mtakatifu, utukaribie na kutuponya magonjwa yetu, kwa ajili ya jina lako.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Baba yetu uliye Mbinguni; Jina lako litukuzwe; Ufalme wako uje; mapenzi yako yatimizwe, hapa Duniani kama huko Mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku; na utusamehe deni zetu; kama sisi tuwasamehevyo wadeni wetu; tena usitutie majaribuni, lakini tuokoe na yule mwovu.

KASISI

Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, wa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

MSOMAJI

Amina.

Bwana, hurumia. (x 12)

Njooni, tumwinamie na tumsujudu Mungu mfalme wetu.

Njooni, tumwinamie na tumsujudu Kristo yu Mungu mfalme wetu.

Njooni, tumwinamie na tumsujudu yeye, Kristo aliye mfalme na Mungu wetu.

Zaburi ya 142 (143).

Ee Bwana, uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu, kwa uaminifu wako unijibu kwa haki yako. Wala usimhukumu mtumishi wako, maana kwako hakuna aliye hai mwenye haki. Maana adui ameifuatia nafsi yangu, ameutupa chini uzima wangu, amenikalisha mahali penye giza, kama watu waliokufa zamani. Na roho yangu imezimia ndani yangu, moyo wangu ndani yangu umesituka. Nimezikumbuka siku za kale, nimeyatafakari matendo yako yote, naziwaza kazi za mikono yako. Nakunyoshea mikono yangu; nafsi yangu inakuonea kiu kama nchi kame. Ee Bwana, unijibu hima, roho yangu imelegea; usinifiche uso wako, nisifanane nao washukao shimoni. Unifanye kusikia fadhili zako asubuhi, kwa maana nimekutumaini Wewe. Unijulishe njia nitakayoiendea, kwa maana nakuinulia nafsi yangu. Ee Bwana, uniponye na adui zangu; nimekukimbilia Wewe, unifiche. Unifundishe kuyatenda mapenzi yako, kwa maana ndiwe Mungu wangu. Roho yako mwema aniongoze kwenye nchi sawa, Ee Bwana, unihuishe kwa ajili ya jina lako, kwa haki yako unitoe roho yangu taabuni; kwa fadhili zako utawakatilia mbali adui zangu; na kuwaangamiza wote wanitesao nafsi, kwa maana mimi ni mtumishi wako. [[SWA]]

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

WATU

Amina.

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari 1: BWANA, usinikemee kwa hasira yako, wala usinirudi kwa ghadhabu yako.

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari 2:

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Utuhurumie, Ee Bwana, utuhurumie, kwa kuwa sisi ni watu wenye dhambi; hakuna teto lolote kukuletea ombi hili tunalokutolea, bali kama Bwana wa Mabwana utuhurumie. [[SWA]]

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

MSOMAJI

Zaburi ya 50 (51).

Ee Mungu, unirehemu, sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu, na dhambi yangu i mbele yangu daima. Nimekutendea dhambi Wewe peke yako, na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, na kuwa safi utoapo hukumu. Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; mama yangu alinichukua mimba hatiani. Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; nawe utanijulisha hekima kwa siri, unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, unioshe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji. Unifanye kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda ifurahi. Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu. Usinitenge na uso wako, wala roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako; unitegemeze kwa roho ya wepesi. Nitawafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watarejea kwako. Ee MUNGU, Mungu wa wokovu wangu, uniponye na damu za watu, na ulimi wangu utaiiimba haki yako. Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, na kinywa changu kitazinena sifa zako. Maana hupendezwi na dhabihu au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa. Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau. Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako, uzijenge kuta za Yerusalemu.

WATU

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Kathisma.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu. Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Ἐπαρθέντα σε ἰδοῦσα.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Kontakio. Τὰ ἄνω ζητῶν.

Ἐν τῇ καμίνῳ Ἀβραμιαῖοι.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Ni Wajibu kweli kukuita heri, Ee Mzazi Mungu (Theotokos), mbarikiwa daima na bila ndoa tena Mama wa Mungu wetu, uliye wa thamani kushinda Wakheruvi, unaye utukufu kupita bila kiasi Waserafi, uliye mzaa Mungu Neno bila kuharibu, uliye Mzazi – Mungu {Theotokos} kweli tuna kukuza wee. [[SWA]]

Eksapostiilario.

Ainoi.

Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. Haleluya. Msifuni BWANA kutoka mbinguni; msifuni katika mahali palipo juu.

Msifuni, enyi malaika wake wote; msifuni, majeshi yake yote.

Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa; hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Haleluya.

Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika anga la uweza wake.

Msifuni kwa matendo yake makuu; msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

MSOMAJI

Maombi ya Trisaghio.

Mungu Mtakatifu, Mweza Mtakatifu, Usiyekufa Mtakatifu, utuhurumie. (3)

Ee Utatu mtakatifu kamili, utuhurumie. Bwana, utusamehe dhambi zetu. Rabi, utuondolee makosa yetu. Mtakatifu, utukaribie na kutuponya magonjwa yetu, kwa ajili ya jina lako.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Baba yetu uliye Mbinguni; Jina lako litukuzwe; Ufalme wako uje; mapenzi yako yatimizwe, hapa Duniani kama huko Mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku; na utusamehe deni zetu; kama sisi tuwasamehevyo wadeni wetu; tena usitutie majaribuni, lakini tuokoe na yule mwovu.

KASISI

Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, wa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

WATU

Amina.

Tropario.

SHEMASI

Kwa amani, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya amani kutoka juu na ya wokovu wa roho zetu, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya amani ya dunia yote, na kusimama imara kwa Ekklesia Takatifu ya Mungu, na ya umoja wa wote, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya nyumba hii takatifu na waingiamo kwa imani, heshima na kumcha Mungu, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya wakristo wateule na waorthodoksi wote, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya Askofu wetu mkuu Askofu wetu mkuu (jina) Makasisi, Mashemasi wateule na watu wote tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya taifa letu linalomcha Mungu, raisi wetu, viongozi wetu na majeshi wapendao dini, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya mji huu na miji yote na nchi zote na waishimo kwa imani, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya majira mema ya mwaka kupata mvua ya kutosha na hewa safi na rotuba ya kutosha kwa ardhi, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya wasafiri hewani juu, baharini majini, na nchini kavu, wachoshwa na mateka kupata uhuru, na kwa ajili ya wokovu wao, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Kwa ajili ya kuokolewa kwa kila sitikiko, ghadhabu, hatari na uhitaji, tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

Utusaidie, utuokoe, utuhurumie, utuhifadhi, Ee Mungu, kwa neema yako.

( Bwana, hurumia. )

Tumkumbuke Maria Mtakatifu kamili, asiye na doa, Mbarikiwa zaidi kushinda wote, Bibi wetu mtukufu mzazi Mungu na bikira daima pamoja na watakatifu wote hata sisi pia wenyewe na kila mmoja wetu na wenzetu wote, hata maisha yetu, kujiweka mikononi mwa Kristo Mungu.

( Kwako, Ee Bwana. )

KASISI

Kwa kuwa utukufu wote na heshima na usujudu ni haki yako, ya Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote, hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

WATU

SHEMASI

Tusikilize.

SHEMASI

Zaburi Sauti 1

Mstari

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(5:10-16)

Ndugu, mkitaka kuona mfano wa subira na uvumilivu katika mateso, fikirini juu ya manabii ambao walinena kwa jina la Bwana. Tunawaita hao wenye heri kwa sababu walivumilia. Mmesikia habari za uvumilivu wa Yobu, na mnajua jinsi Bwana alivyomtendea mwishoni. Maana Bwana amejaa huruma na rehema. Zaidi ya hayo yote, ndugu zangu, msiape kwa mbingu, wala kwa dunia, wala kwa kitu kingine chochote. Semeni "Ndiyo" kama maana yenu ni ndiyo, na "La" kama maana yenu ni la, na hapo hamtahukumiwa na Mungu. Je, pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? Anapaswa kusali. Je, yuko mwenye furaha? Anapaswa kuimba nyimbo za sifa. Je, yuko mgonjwa kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Wakiomba kwa imani mgonjwa ataponyeshwa; Bwana atampatia nafuu, na dhambi alizotenda zitaondolewa. Basi, ungamanieni dhambi zenu, na ombeaneni, ili mpate kuponywa. Sala ya mtu mwema ina nguvu ya kutenda mengi. [[SWA]]

Alleluia. Zaburi ya 100 (101).

Rehema na hukumu nitaziimba, Ee BWANA, nitakuimbia zaburi.

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa kutuhurumia na kutuokoa ni Kwako, Ee Mungu wetu na Kwako tunatoa, utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, sasa na sikuzote hata milele na milele.

( Amina. )

( Amina. )

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

Zaburi Sauti 2.

BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu.

Mstari BWANA ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(15:1-7)

Ndugu zangu, sisi tulio imara katika imani tunapaswa kuwasaidia wale walio dhaifu wayakabili matatizo yao. Tusijipendelee sisi wenyewe tu. Kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake kwa wema ili huyo apate kujijenga katika imani. Maana Kristo hakujipendelea mwenyewe; ila alikuwa kama yasemavyo Maandiko: "Kashfa zote walizokutolea wewe zimenipata mimi." Maana, yote yaliyoandikwa yameandikwa kwa ajili ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo na hayo Maandiko Matakatifu tupate kuwa na matumaini. Mungu aliye msingi wa saburi na faraja yote, awajalieni nyinyi kuwa na msimamo mmoja kufuatana na mfano wake Kristo Yesu, ili nyinyi nyote, kwa nia moja na sauti moja, mumtukuze Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Basi, karibishaneni kwa ajili ya utukufu wa Mungu kama naye Kristo alivyowakaribisheni. [[SWA]]

Alleluia. Zaburi ya 88 (89).

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

WATU

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

SHEMASI

Tusikilize.

MSOMAJI

Zaburi Sauti ya 3.

Mstari

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(12:27-31; 13:1-8)

Ndugu zangu, nyinyi nyote ni mwili wa Kristo; kila mmoja wenu ni kiungo cha mwili huo. Mungu ameweka katika kanisa: kwanza mitume, pili manabii, tatu waalimu; kisha ameweka wale wenye kipaji cha kufanya miujiza, kuponya na kusaidia; viongozi na wenye kusema lugha ngeni. Je, wote ni mitume? Wote in manabii? Wote ni waalimu? Wote ni wenye kipaji cha kufanya miujiza? Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa niatawonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote. Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote. Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote. Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita. [[SWA]]

KASISI

Amani kwako Ee Msomaji.

Alleluia. Zaburi ya 30 (31).

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

WATU

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

Zaburi Sauti 4.

Mstari

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(6:16-18; 7:1)

Ndugu zangu, sisi ni hekalu la Mungu aliye hai. Kama Mungu mwenyewe alivyosema: "Nitafanya makao yangu kwao, na kuishi kati yao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu." Kwa hiyo Bwana asema pia: "Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea. Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wanangu, waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Nguvu." Basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa na kuishi kwa kumcha Mungu. [[SWA]]

KASISI

Amani kwako Ee Msomaji.

Alleluia.

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

(8:14-23)

Wakati huo Yesu alifika nyumbani kwa Petro, akamkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, ana homa kali. Basi, Yesu akamgusa huyo mama mkono, na homa ikamwacha; akasimama, akamtumikia. Ilipokuwa jioni, walimletea watu wengi waliokuwa wamepagawa na pepo; naye, kwa kusema neno tu, akawafukuza hao pepo. Aliwaponya pia watu wote waliokuwa wagonjwa. Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: "Yeye mwenyewe ameuchukua udhaifu wetu, ameyabeba magonjwa yetu." Yesu alipoona kundi la watu limemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake waende ng''ambo ya ziwa. Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, "Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda." Yesu akamjibu, "Mbweha wana mapango, na ndege wana viota; lakini Mwana wa Mtu hana mahali pa kupumzikia." Kisha mtu mwingine miongoni mwa wanafunzi wake akamwambia, "Bwana, niruhusu kwanza niende nikamzike baba yangu." Lakini Yesu akamwambia, "Nifuate! Waache wafu wazike wafu wao." Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. [[SWA]]

WATU

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

SHEMASI

Tusikilize.

MSOMAJI

Zaburi Zaburi ya 11 (12).

Wewe, BWANA, ndiwe utakayetuhifadhi, utatulinda na kizazi hiki milele.

Mstari BWANA, uokoe, maana mcha Mungu amekoma.

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(1:8-11)

Ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule Asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi. Naam, tulikuwa kama watu waliohukumiwa kuuawa, ili tufundishwe kumtegemea Mungu mwenye kuwafufua wafu, badala ya kutegemea nguvu zetu sisi wenyewe. Yeye alituokoa katika hatari kubwa ya kifo, na anaendelea kutuokoa; sisi tumemwekea tumaini letu kwamba atatuokoa tena, nyinyi mkiwa mnatuunga mkono kwa kutuombea. Hivyo neema tutakazokuwa tumepata kutokana na maombi ya watu wengi hivyo, ziwe sababu ya watu wengi zaidi kumshukuru Mungu kwa ajili yetu. [[SWA]]

Alleluia.

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

WATU

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

SHEMASI

Tusikilize.

MSOMAJI

Zaburi Sauti 4.

Mstari

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(5:22-26, 6:1-2)

Ndugu zangu, matokeo ya kuongozwa na Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu, upole na kiasi. Hakuna sheria inayoweza kupinga mambo hayo. Wale walio na Kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake. Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu. Ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, basi, nyinyi mnaongozwa na Roho mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, mkiwa na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa. Chukulianeni mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya Kristo. [[SWA]]

KASISI

Amani kwako Ee Msomaji.

Alleluia.

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari Haleluya. Heri mtu yule amchaye BWANA, apendezwaye sana na maagizo yake.

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

WATU

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

SHEMASI

Tusikilize.

MSOMAJI

Zaburi Sauti 4.

Mstari

KASISI

Hekima.

SHEMASI

Somo kutoka kwa

KASISI

Tusikilize.

SHEMASI

(5:14-23)

Ndugu, tunawahimizeni muwaonye watu walio wavivu, mwatie moyo watu wanyonge, muwasaidie watu dhaifu, muwe na subira kwa wote. Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote. Furahini daima, salini kila wakati na kuwa na shukrani katika kila hali. Hayo ndiyo anayotaka Mungu kwenu katika kuungana kwenu na Kristo Yesu. Msimpinge Roho Mtakatifu; msidharau unabii. Pimeni kila kitu: zingatieni kilicho chema, na kuepuka kila aina ya uovu. Mungu mwenyewe anayetupatia amani awatakase nyinyi kabisa kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu--roho, mioyo, na miili yenu--mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo. [[SWA]]

KASISI

Amani kwako Ee Msomaji.

Alleluia.

WATU

Alleluia, Alleluia, a|leluia.

Mstari BWANA akujibu siku ya dhiki, jina la Mungu wa Yakobo likuinue.

SHEMASI

Hekima. Simameni wima. tusikilize Evanjelio Takatifu.

KASISI

Amani kwa wote.

( Na iwe kwa roho yako. )

KASISI

Injili Takatifu kama ilivyoandikwa na

SHEMASI

Tusikilize.

( Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako. )

KASISI

WATU

Utukufu kwako, Ee Bwana, utukufu kwako.

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

( Bwana, hurumia. )

KASISI

( Amina. )

SHEMASI

SHEMASI

Utuhurumie, Ee Mungu kadiri ya huruma yako kubwa, tunakuomba utusikilize na kutuhurumia.

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

( Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia. )

KASISI

Kwa kuwa U Mungu mrahimu na mpenda wanadamu, na kwako tunatoa utukufu, kwa Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

( Amina. )

WATU

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina. Wimbo wa Mzazi-Mungu

Sauti 4.

(3)