×




SHEMASI

1.

2.

3.

KASISI

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

1.

1.

2.

3.

3.

4.

5.

6.

1.

2.

SHEMASI

Ee padri, himidi.

KASISI

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele.

SHEMASI

Amina.

KASISI

Utukufu kwako, Ee Mungu wetu, utukufu

Ee Mfalme wa mbinguni, mfariji, Roho wa kweli; uliye mahali po pote, na kuvijaza vitu vyote; uliye hazina ya mambo mema na mpaji wa uhai; njoo ukae kwetu na kutusafisha na kila doa, hata uziokoe roho zetu, Mwema we.

SHEMASI

Maombi ya Trisaghio.

Mungu Mtakatifu, Mweza Mtakatifu, Usiyekufa Mtakatifu, utuhurumie. (3)

Ee Utatu mtakatifu kamili, utuhurumie. Bwana, utusamehe dhambi zetu. Rabi, utuondolee makosa yetu. Mtakatifu, utukaribie na kutuponya magonjwa yetu, kwa ajili ya jina lako.

Bwana hurumia, Bwana hurumia, Bwana hurumia.

Baba yetu uliye Mbinguni; Jina lako litukuzwe; Ufalme wako uje; mapenzi yako yatimizwe, hapa Duniani kama huko Mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku; na utusamehe deni zetu; kama sisi tuwasamehevyo wadeni wetu; tena usitutie majaribuni, lakini tuokoe na yule mwovu.

KASISI

Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, wa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, sasa na siku zote hata milele na milele.

SHEMASI

Amina.

KASISI

Utuhurumie, Ee Bwana, utuhurumie, kwa kuwa sisi ni watu wenye dhambi; hakuna teto lolote kukuletea ombi hili tunalokutolea, bali kama Bwana wa Mabwana utuhurumie.

SHEMASI

Utukufu kwa Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

KASISI

Sasa na siku zote hata milele na milele. Amina.

Tumwombe Bwana.

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele.

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele.

Ni kama mafuta mazuri kichwani, yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.

Mungu ndiye anifungaye mshipi wa nguvu, naye anaifanya kamilifu njia yangu. Miguu yangu anaifanya kuwa ya kulungu, na kunisimamisha mahali pangu pa juu.

BWANA, mkono wako wa kuume umepata fahari ya uwezo, BWANA, mkono wako wa kuume wawasetaseta adui. Kwa wingi wa ukuu wako wawaangusha chini wanaokuondokea,

Mikono yaku ilinifanya ikanitengeneza, unifahamishe nikaijifunze maagizo yako.

Jifungie upanga wako pajani, wewe uliye hodari, utukufu ni wako na fahari ni yako. Katika fahari yako usitawi uendelee kwa ajili ya kweli na upole na haki, na mkono wako wa kuume utakufundisha mambo ya kutisha.

Makuhani wako na wavikwe haki, watauwa wako na washangilie.

Nitanawa mikono yangu kwa kutokuwa na hatia, na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA. Ili niitangaze sauti ya kushukuru, na kuzisimulia kazi zako za ajabu. BWANA, nimependa makao ya nyumba yako, na mahali pa maskani ya utukufu wako. Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji, wala uhai wangu pamoja na watu wa damu. Mikononi mwao mna madhara, na mkono wao wa kuume umejaa rushwa. Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu; unikomboe, unifanyie fadhili. Mguu wangu umesimama palipo sawa; katika makusanyiko nitamhimidi BWANA.

Na unihurumie.

Umetukomboa na laana ya sheria kwa damu yako ya thamani ukikongomewa msalabani, na kuumizwa kwa mkuki na kuvumilia umekuwa chemchemi kwa wanadamu. Ee Mwokozi wetu, utukufu kwako.

SHEMASI

Ee padri, himidi.

KASISI

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele.

Tumwombe Bwana.

Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri.

1.

1. ]

2.

2. ]

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

9.

Ee padri, bariki uvumba. Tumwombe Bwana.

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

Kwa neno la BWANA mbingu zilifanyika, na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

BWANA ametamalaki, amejivika adhama, BWANA amejivika, na kujikaza nguvu. Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike;

SHEMASI

Tumwombe Bwana.

Daima sasa na sikuzote hata milele na milele. Amina.

Utukufu kwako, Ee Kristo Mungu wetu na matumaini yetu, utukufu kwako.

SHEMASI

Bwana, hurumia. (3)

Yeye ( aliyefufuka toka kwa wafu, ) Kristo Mungu wetu wa kweli, kwa maombi ya Mama yake asiye na doa na asiye na waa, mtakatifu kamili; ( ) , na ya watakatifu wote, atuhurumie na atuokoe, yu Mungu mwema, mrahimu na mpenda wanadamu.

SHEMASI

Amina.

Ee Mfalme wa mbinguni, mfariji, Roho wa kweli; uliye mahali po pote, na kuvijaza vitu vyote; uliye hazina ya mambo mema na mpaji wa uhai; njoo ukae kwetu na kutusafisha na kila doa, hata uziokoe roho zetu, Mwema we.

(x 2)

Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, na kinywa changu kitazinena sifa zako.

Ahimidiwe Mungu wetu, daima, sasa na siku zote, hata milele na milele. Amina.

SHEMASI

KASISI

SHEMASI

KASISI

Amina.

Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, na kinywa changu kitazinena sifa zako.

Ee padri, himidi.